jac salum
Senior Member
- Mar 23, 2017
- 183
- 129
Mimi ni mvulana umri 26. Kila ninapofanya ngono na msichana huwa natumia muda mrefu kufika kileleni na nikishakojoa huwa natokwa na jasho sana, wakati mwingine kichwa kinauma sana pembeni mwa paji la uso juu ya sikio.
Jasho linaongezeka mwili nzima, ghafla napata kizunguzungu na wakati mwingine nalegea na kulala sakafuni. natumia dakika 1 au 2 au 3 kurudi katka hali yangu ya kawaida.
Na huwa sitosheki kungonoka bali nachoka na kuamua kuacha kwa wakati huo.
Mara ya kwanza kuhisi tatizo hili ilikua 2014, Nimevumila kwa muda mrefu nimeona bora niweke mambo hadharani.
NAOMBA MSADA WENU KWA MWENYE UFAHAMU JUU YA TATIZO NA NIFANYE NINI ILI NIONDOKANE NA HILI TATIZO!