escrow
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 371
- 321
Habari za mchana wana jf ! Nimekuja kwenu naomba mwenye utalaam anishauri ,, Tatizo langu ni dudu kuuma hasa napomaliza faragha na nikitoka kukojoa , inauma ndani kwene njia ya kutolea mkojo na maziwa meupe,,nimeenda kumwona doctor na kufanya vipimo lakini inaonesha hakuna tatizo lolote.
Lakini pia she wangu alikua analalamika kumwa na baada ya vipimo alionekana ana UTI sugu, baada ya hilo nikahisi nami itakua hiyo kumbe siyo,, naombeni mwenye kujua hili tafadharini.
She wangu kesha pata matibabu na sijaenda nae faragha tena. Asanten!