Msaada kiafya

escrow

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
371
321
Habari za mchana wana jf ! Nimekuja kwenu naomba mwenye utalaam anishauri ,, Tatizo langu ni dudu kuuma hasa napomaliza faragha na nikitoka kukojoa , inauma ndani kwene njia ya kutolea mkojo na maziwa meupe,,nimeenda kumwona doctor na kufanya vipimo lakini inaonesha hakuna tatizo lolote.

Lakini pia she wangu alikua analalamika kumwa na baada ya vipimo alionekana ana UTI sugu, baada ya hilo nikahisi nami itakua hiyo kumbe siyo,, naombeni mwenye kujua hili tafadharini.

She wangu kesha pata matibabu na sijaenda nae faragha tena. Asanten!
 
Asante sanaa mkuu,,unasababishwa na nin huu ugojwa.
Huu ni ugonjwa wa zinaa, yaani ni maambukizi tu ya kawaida. Japo sio lazima uupate kutokana na ngono zembe. Unaweza ukawa unafanya too much sex kwa mpenzi wako ukashangaa umeupata. Ni maambukizi yanayotokana na kuumia katika sex, pata matibabu mapema kabla haujatambaa ukawa hatari.
 
Habari za mchana wana jf ! Nimekuja kwenu naomba mwenye utalaam anishauri ,, Tatzo langu ni DUDU kuuma has a napomaliza faragha na nikitoka kukojoa , inauma ndani kwene njia ya kutolea mkojo na maziwa meupe,,nimeenda kumwona doctor na kufanya vipimo lakin inaonesha hakuna tatizo lolote.
Lakin pia she wangu alikua analalamika kumwa na baada ya vipimo alionekana ana UTI sugu, baada ya hilo nikahisi nami itakua hiyo kumbe siyo,, naomben mwenye kujua hili tafadharin,
She wangu kesha pata matibabu na sijaenda nae faragha tena. Asanten!
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Unaumwa ugonjwa unaitwa Clamydia
tafuta dawa inaitwa azithromycin au doxycycline
Napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa ushauri wako, nimepona kwa kutumia dawa ulizonielekeza! Asante sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom