Ipananga kulwa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 573
- 290
habar wakuu naomba. naomba kukuzwa kuna kazi zilitangazwa na FCC October mbona kimya saana au " Man at Work"?
Ukiona manyoya ujue kashaliwa....
ok sawa sawa mkuuutumish saa hv wanaita kaz ambazo zilitangazwa september so kua mvumilivu
expect hzo mpaka january
kweli mkuu?? au unarusha roho watu??Tupo kazini tayari .
Vuta subira wataita tu.. Vizur ukaenda pale utumishi wakupe elimu namna wanavyofanya kazi zao. Utatulia vizur tu ukijuakweli mkuu?? au unarusha roho watu??
sasa c wangekua wawaz kama taasisi zingine za umma ,? waweke basi majina ya ya shortlistedFCC HAWAKUPI KAZI KISIMPLE HVYO, ILA KUTANGAZA LAZIMA
duh punguza jazba kutafuna imetoka wapi?SASA HATA WAKIWEKA MAJINA ITAKUSAIDIA NINI UNAENDA KUYATAFUNA AU?