medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,323
- 1,286
Nimepata changamoto ya kushindwa kuunganisha Kadi yangu ya Airtel Master card na Paypal. Haswa eneo la ukomo wa tarehe. Hitilafu ninazokutana nazo kama kwenye picha ifuatavyo:
Hii kwa ajili ya kulipia sio kupokea pesa.Pay pal ni haramu Tanzania
Nimepata changamoto ya kushindwa kuunganisha Kadi yangu ya Airtel Master card na Paypal. Haswa eneo la ukomo wa tarehe. Hitilafu ninazokutana nazo kama kwenye picha ifuatavyo:
View attachment 1687886View attachment 1687887
Renew kadi yako sababu unajaribu kuweka kadi ambayo una expire mwezi huu ndo maana inakataa.Nimepata changamoto ya kushindwa kuunganisha Kadi yangu ya Airtel Master card na Paypal. Haswa eneo la ukomo wa tarehe. Hitilafu ninazokutana nazo kama kwenye picha ifuatavyo:
View attachment 1687886View attachment 1687887
Renew kadi yako sababu unajaribu kuweka kadi ambayo una expire mwezi huu ndo maana inakataa.
Renew kadi yako ili update expire date mpya ya mbele
Ngoja nijaribu kutengeneza ya M Pesa master card. Airtel inanikatalia kutengeneza kadi hadi niliyokuwa nayo ipate kuisha muda wake.Kadi imekwisha mwezi 1-2021
Good ideaNgoja nijaribu kutengeneza ya M Pesa master card. Airtel inanikatalia kutengeneza kadi hadi niliyokuwa nayo ipate kuisha muda wake.
Kadi imeexpire renew au ifute utengeneze card mpyaNimepata changamoto ya kushindwa kuunganisha Kadi yangu ya Airtel Master card na Paypal. Haswa eneo la ukomo wa tarehe. Hitilafu ninazokutana nazo kama kwenye picha ifuatavyo:
View attachment 1687886View attachment 1687887
Na ni lazima uwe na at least $1 kwenye hyo cardNgoja nijaribu kutengeneza ya M Pesa master card. Airtel inanikatalia kutengeneza kadi hadi niliyokuwa nayo ipate kuisha muda wake.
Nimeshafanikiwa kufanya muamalaNa ni lazima uwe na at least $1 kwenye hyo card