Msaada: Katika matokeo ya kidato cha nne amepata C masomo yote ila Chemistry ana D, anataka kusoma udaktari

A

all kissus

Member
Joined
Jul 24, 2016
Messages
40
Likes
15
Points
15
Age
48
A

all kissus

Member
Joined Jul 24, 2016
40 15 15
Shule za Serikali advance wanachukua mwisho pts 10 kwa mwanaume CCD= 10 na pts 11 kama ni mtoto wa kike..ila inategemeana na ufaulu wa mwaka huu upoje ( competition) baina ya wanafunzi..

A =1 , B = 2 ,C =3 , D = 4,....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti na hapo inabid utafute shule ya private kwa masomo ya advance au ukaanze certificate / diploma kama hauko interested kusoma advance...

Pia ni lazima uwe within hizo 10 pts lakini usiwe na F kwenye combination yako. Mfano PCB , Physics = D , chemistry = C Biology = C hizi ni 10 points.

Same kwa hii PCB , physics = F Chemistry = A na Biology =A.... hapa una points 7 kama sijakosea, lakin huwezi pata kwasababu una F kwenye physics.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F

fredy18

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Messages
379
Likes
333
Points
80
F

fredy18

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2018
379 333 80
Moyess

Moyess

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2016
Messages
915
Likes
1,082
Points
180
Age
49
Moyess

Moyess

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2016
915 1,082 180
Labda udaktari wa TIBA ASILI kama wa akina dr mwaka
 
Forum statistics

Threads 1,272,986
Members 490,220
Posts 30,466,591