Msaada: Katika matokeo ya kidato cha nne amepata C masomo yote ila Chemistry ana D, anataka kusoma udaktari


M

mkorobwe

Member
Joined
Sep 28, 2018
Messages
41
Likes
24
Points
15
M

mkorobwe

Member
Joined Sep 28, 2018
41 24 15
Guide book ya Nacte inataka Bios,Physics na Chemistry awe na angalau D halafu Englush au Math pia moja wapo awe na angalau D kwahiyo kwa maana hiyo dogo vigezo anavyo vya kusoma hiyo kozi wala asiogope hakuna kozi ngumu kwenye kujituma na kusoma kwa bidii

Sent using Jamii Forums mobile app
pitia tena ndungu hicho kiwango ni kwa Certificate. kkwa diploma C ya Chem na C ya Bio ni lazima
 
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
764
Likes
607
Points
180
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
764 607 180
Dah poa poa mkuu,mana na mm cheti changu nna CHEM-D na bios -C Nataka nirudie mwaka huu math na physics niende huko afya kupambana kitaeleweka mbele kwa mbele huko.
Unaenda mkuu ila private serikalini hutapata maana competition kubwa kwa hiyo kozi labda aanze private afu baadae ahamie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
feyzal

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
769
Likes
587
Points
180
feyzal

feyzal

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
769 587 180
Poa mkuu sehemu pekee ambaye huwezi kusoma maana vigezo viko juu kwa miaka hii ni Nursing tu..wenyewe wanataka kuanzia CCD
Dah poa poa mkuu,mana na mm cheti changu nna CHEM-D na bios -C Nataka nirudie mwaka huu math na physics niende huko afya kupambana kitaeleweka mbele kwa mbele huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
764
Likes
607
Points
180
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
764 607 180
Daaah nikifkiria mziki wa chemistry na physics kutafta C daaah sio ndogo.
Natamani sana niendelee lakini nahofia huko private ada zao zikojee
Vigezo ni sawa ila nimesema comp ndo kubwa angalau uwe CCC na kuendelea angalau unaweza kupambana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jangala

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Messages
1,346
Likes
1,845
Points
280
jangala

jangala

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2014
1,346 1,845 280
Wakuu mie naombeni ushauri pia
Nilimaliza shule miaka zaidi ya saba nyuma..nikapata alama zifuatazo

History - B
Civics - C
English - D
Biology - D
Geography -D
Kiswahili - D
B/Maths - F

Swali langu : Nataka kujiendeleza...nisome vipi/nini kutokana na alama zangu hzo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

mzeemwamba

New Member
Joined
Jan 11, 2017
Messages
4
Likes
0
Points
3
M

mzeemwamba

New Member
Joined Jan 11, 2017
4 0 3
hawezi kusoma udaktari donload TCU Guide book. hapo asipoteze muda akasome certificate then ordinary diploma
hata art hasomi.
 
Wazo la kabwela

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Messages
1,570
Likes
915
Points
280
Age
29
Wazo la kabwela

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2013
1,570 915 280

Forum statistics

Threads 1,275,152
Members 490,925
Posts 30,534,353