Msaada: Katika matokeo ya kidato cha nne amepata C masomo yote ila Chemistry ana D, anataka kusoma udaktari


B

Baba Loveness

Member
Joined
Sep 24, 2014
Messages
71
Likes
56
Points
25
B

Baba Loveness

Member
Joined Sep 24, 2014
71 56 25
Habari za wakati huu wakuu..

Nina mdogo wangu ana Alama C Kwenye masomo yote ya form four kasoro Tuu chemistry ana D.. Anataka kusomea diploma ya udaktari naombeni ushauri me anaweza kusomea kwa alama zake na NI chuo gani kwa hapa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,387
Likes
10,337
Points
280
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,387 10,337 280
Habari za wakati huu wakuu..

Nina mdogo wangu ana Alama C Kwenye masomo yote ya form four kasoro Tuu chemistry ana D.. Anataka kusomea diploma ya udaktari naombeni ushauri me anaweza kusomea kwa alama zake na NI chuo gani kwa hapa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa anazo aombe haraka kama fedha ipo aombe private ili aanze masomo hii intake ya mwezi March

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SACO

SACO

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Messages
821
Likes
564
Points
180
SACO

SACO

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2011
821 564 180
combination zinagoma.. ila CBG inakubali tatizo ni hiyo F ya Math
 
Director Cosmopolitan

Director Cosmopolitan

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Messages
618
Likes
675
Points
180
Director Cosmopolitan

Director Cosmopolitan

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2018
618 675 180
Safuher mpeleke asome naamini anauwezo mkubwa kuliko huyo anayetaka A halafu mwisho wa siku hajui East, West na anajisifia kwa Masters.

Anasoma chochote kile na mwambie asisomee CHETI (Mimi Nina CHETI Mimi Nina CHETI yororo) asome aelewe apate ujuzi, maalifa ndio apate CHETI.
 
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
775
Likes
598
Points
180
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
775 598 180
C sio kufaulu
Huyo ana uelewa mdogo ndo maana kapata C tena hapo kakesha sana....
Atafute kitu light ili asije juta

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mkuu ebu tulia.

Unajua amesomea shule gani mkuu mpaka unasema C siyo kufaulu mkuu?
Kuna watu wanakomaa kutoka shule za vijijini wanatoks na C zao alafu shule haina waalimu,unafkiri angesoma shule ambayo ina kila kitu angepata C?

Mkuu kwa mtu ambae amesoma mfano washule ambazo zinahudums za kutosha za kufundishia basi C amefeli sana,lakini mtu smbaye ametoka shule kama niliyotoka mimi C amepiga fresh na ana uelewa mzuri sana,hiyo ni pass mkuu walioweka sio kama hawana akili.

Ila fedha boy unapataje C kama sio uzwazwa?

Lakini pis vipo vitu vingine vinachangia na sio kukata kwamba eti mtu hana akili na kusema ana fosi fani,huwenda katoka shule ambayo sio rafiki kimazingiria ya kusomea.

Mimi nilikatishwa tamaa na watu kama wewr wakati nasoma,lakini saivi narudi rasmi alafu nionee kweli sikuwa na akili au mazingira tuu
 
M

mkorobwe

Member
Joined
Sep 28, 2018
Messages
41
Likes
24
Points
15
M

mkorobwe

Member
Joined Sep 28, 2018
41 24 15
Bila shaka unaki.usudia kesema Diploma ya Clinical Medicine, maana hakuna diploma ya Udaktari.u lkn ukweli ni kua kwa mujibu wa viwango vya NACTE huyo hawezi kusoma kwa sababu karibu program zote za Afya BIOLOGY and CHEMISTRY are Compulsory na D ya Math/ physics are aded advantages
 
M

mkorobwe

Member
Joined
Sep 28, 2018
Messages
41
Likes
24
Points
15
M

mkorobwe

Member
Joined Sep 28, 2018
41 24 15
ukweli ni kua ni vigumu kupata kwa sababu takriban program zote za Afya CHEMISTRY na BIOLOGY are Compulsory
 
mava the mc

mava the mc

Member
Joined
Oct 6, 2018
Messages
67
Likes
34
Points
25
mava the mc

mava the mc

Member
Joined Oct 6, 2018
67 34 25
Habari za wakati huu wakuu..

Nina mdogo wangu ana Alama C Kwenye masomo yote ya form four kasoro Tuu chemistry ana D.. Anataka kusomea diploma ya udaktari naombeni ushauri me anaweza kusomea kwa alama zake na NI chuo gani kwa hapa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanuni asiende advance? anaweza soma PGM au EGM but unaweza ishi chini ya malengo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
feyzal

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
768
Likes
585
Points
180
feyzal

feyzal

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
768 585 180
Bila shaka unaki.usudia kesema Diploma ya Clinical Medicine, maana hakuna diploma ya Udaktari.u lkn ukweli ni kua kwa mujibu wa viwango vya NACTE huyo hawezi kusoma kwa sababu karibu program zote za Afya BIOLOGY and CHEMISTRY are Compulsory na D ya Math/ physics are aded advantages
Guide book ya Nacte inataka Bios,Physics na Chemistry awe na angalau D halafu Englush au Math pia moja wapo awe na angalau D kwahiyo kwa maana hiyo dogo vigezo anavyo vya kusoma hiyo kozi wala asiogope hakuna kozi ngumu kwenye kujituma na kusoma kwa bidii

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,274,320
Members 490,665
Posts 30,508,168