Jagiya
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,126
- 1,577
Habarini wadau,
Naombeni msaada katika simu yangu hii ya INFINIX HOT8 LITE katika vitu hivi.
1.Ukifungua katika contacts hakuna namba zozote zilizopo na nikitoa line katika simu hii na kuweka kwenye simu nyingine majina yapo yote.
2.Katika kusave namba mpya inakataa nakuandika( this SIM is not able to store contacts) japo pia ukibadili kwenye simu nyingine unasave kawaida tu.
Je, tatizo litakuwa ni nini?
Natanguliza Shukurani.