Msaada katika electronics

Srebrina

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
944
405
Habari za jioni wadau. Ni siku nying hatujapeana salamu.

Ninauhitaji na vitabu vizuri vya electronics vinavyo elekeza jinsi ya kusoma electronics na ku design

Kama naweza pata sehemu au kwa mtu. Naitaji hard copy ivo kama kuna sehemu wanauza plz naitaji kupafahamu
 
Electronics zipi?? Be specific

Mkuu nimesoma basic electronics kwa flow hii
1. Flow of electricity
2. Resistors
3. Capacitors
4. Inductors
5. Transducers

After hapo nikasoma semiconductors {doped na undoped}. Diode. Transistors ( as switch, amplifier and oscilator ). Pia nimesoma ( Operation amplifier na Digital ikiwa ni binary numbers na logic gates).

Sasa kutokea hapo nataka kujiendeleza na Integrated Circuits na jinsi ya kudesign electronics circuit
 
Nimekuelewa sana

Suala la Designing ya electronics ni changamoto sana. Wengi hu practice vitu ambavyo ni ready made. Eg. Unatafuta mchoro wa amplifier halafu unatengeneza.

LInapokuja suala la Designing ni gumu kwa sababu linaanza at a very low stage with Raw Idea. Kama utaunda Device lakini ukatumia IC ambayo ipo tayari programmed sidhani kama utakuwa umeunda.

Kama upo competent kwenye hizo mada tajwa basi upo vizuri we jitahidi uanze kufanya integration ya Subsystems mbalimbali kupata a full function Device
 
Nimekuelewa sanaSuala la Designing ya electronics ni changamoto sana. Wengi hu practice vitu ambavyo ni ready made. Eg. Unatafuta mchoro wa amplifier halafu unatengeneza.

LInapokuja suala la Designing ni gumu kwa sababu linaanza at a very low stage with Raw Idea. Kama utaunda Device lakini ukatumia IC ambayo ipo tayari programmed sidhani kama utakuwa umeunda.

Kama upo competent kwenye hizo mada tajwa basi upo vizuri we jitahidi uanze kufanya integration ya Subsystems mbalimbali kupata a full function Device

Nimekuelewa bro, lakini shida ni shule niliyopo haina hata vitabu. Kipo kimoja tu tena cha zaman na access ya softcopy ni ngumu sana huku nilipo maana hata apa natumia java phone ivo kupata pdf ni shida ivo nilikuwa naitavi angalau vitabu vya kujiendeleza kuanzia hapo nilipo
 
Jitahidi utafute android phone. Kupata vitabu hardcopy ni issue labda Library za DIT, MUST
 
Vitabu vya electronics ninavyo ila ni soft copy mkuu.
 
Back
Top Bottom