Msaada kati ya Kluger V na Kluger L

musobogo

Senior Member
Sep 13, 2010
106
111
Wanajamii naombeni msaada wenu juu ya utofauti uliopo kati ya Kluger V na Kluger L. Kwani V na L. Ni nini hasa tofauti ya kiufundi iliopo.

Natangukiza shukurani kwa michango yenu yakinifu.
 
Difference between Kluger V and LManufactureV : 2000/11 to 2005/11L : 2003/8 to 2007/5DealersV : NetzL : ToyotaShapes, mechanics, types are same
 
V ni toleo la mwanzo kabisa, pia ni modification ya harrier. Ina space zaidi kwa ndani, vilivyobakia zaidi vinafanana, japo kuna toleo jipya limetoka.
 
Back
Top Bottom