Msaada kati ya hivi kipi nijifunze na kwanini?

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Habari za muda huu ndugu zangu mimi ni mwanafunzi wa chuo na kwasasa chuo tumefunga kwa muda wa miezi kama miwili katika pita zangu nikakutana hizi mambo natamani nijifunze skills kama 3 au 4 kwa muda huu nilipo home ili nisikae bure.

Ushauri naomba kati ya hizo kipi nianze kujifunza?
 
Habari za muda huu ndugu zangu mimi ni mwanafunzi wa chuo na kwasasa chuo tumefunga kwa muda wa miezi kama miwili katika pita zangu nikakutana hizi mambo natamani nijifunze skills kama 3 au 4 kwa muda huu nilipo home ili nisikae bure. Ushauri naomba kati ya hizo kipi nianze
IMG_0711.jpg
 
Habari za muda huu ndugu zangu mimi ni mwanafunzi wa chuo na kwasasa chuo tumefunga kwa muda wa miezi kama miwili katika pita zangu nikakutana hizi mambo natamani nijifunze skills kama 3 au 4 kwa muda huu nilipo home ili nisikae bure. Ushauri naomba kati ya hizo kipi nianze kujifunza??
 
Freelancing ni ujuzi kwani? Maana KAZI ulizoweka zote zinaweza fanywa kama freelancer
 
Kubeti , kuendesha bodaboda... hizo mbili zinasaidia sana hasa baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu !
 
Jifunze vyote ila achana na forex hivyo vilivyobaki vyote watu wanafanya kazi na wanalipwa huko upwork.com,guru,fiver n.k....ukitaka kazi ndogo ndogo bila skills tembelea picoworkers.com,anylancer.com,star-cliks.com utajionea kipi uanze nacho.
 
Back
Top Bottom