tzniceguy
Senior Member
- Jul 7, 2019
- 121
- 72
Network Engineer/ Telecom Engineer au yeyote mwenye Uelewa wa Networking this Thread is for you
Baad ya Kupanda kwa Beibya Vifurushi vya Internet nimeona Solution yake inawezanikawa VSAT INTERNET,
👉Tunahitaji kujua Bei ya kufanya Installation na Kununua Vifaa vyote vinavyohitajika
👉Pia tunahitaji kujua Satelites na Configuration zake ili tuweze kuishi
Msaada wowote utakua Appreciated