Msaada Juu ya Upatikanaji wa Mbolea ya Samadi Songea.

Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
6,681
11,120
Wakuu habari za pasaka.

Kama kuna memebr yeyote humu amabe anatokea songea, naomba kufahamu juu ya upatikanaji wa mbolea ya samadi huko. au hata maeneo ya jirani.

Kwa kifupi nategemea kuanza organic farming huko na nitahitaji mbolea hiyo kwa gharama yoyote.

Asantene
 
Nenda sehemu inaitwa machinjioni kama unajua Top one hotel fika hapo uliza utakaemkuta jirani wapi Machinjioni utapata samadi ya ng'ombe.
 
Pia nenda peramiho shukia seminari kuu ulizia sehemu inayoitwa kizizini utaelekezwa n m 500 toka hapo utakaposhukia
 
Back
Top Bottom