Msaada juu ya Sheria ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB ACT)

May 26, 2013
67
95
Habari ya saiz wana jamii.

ninaomba msaada wa kisheria katika hili.

je HELSB ACT imetoa maelezo yoyote kuhusu mda ambao mtu anapoajiliwa anatakiwa aanze kulipa marejesho.
1. je ni kwamba ni lazima pale unapoaajiliwa tu uanze kulipa au
2. kuna grace period yeyote ambayo HELSB Act imetoa pale mtu anapoajiliwa mpaka ambapo anatakiwa aanze kulipa mrejesho,

please msaada.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom