Msaada juu ya salary scales za sekta binafsi Tanzania

moses john

New Member
Nov 18, 2014
1
0
Msaada please,

Anayezijua vizuri salary scales hizi PGSS, PMGSS, PMOSS, PUSS tofauti zake na maana zake kwa sekta binafsi na je,hizo abbreviations zina wakilisha maneno gani?
 
ngoja waje wenyewe ambao huwa na makarabrasha yenye mishahara ya watu (HR'z)
 
Back
Top Bottom