Msaada juu ya mtaji wa uanzishwaji wa duka la spea za Bajaji.

Piere. Fm

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,208
1,170
Wakuu heshima na iwe kwenu,
mimi nipo mkoani Rukwa kwa sasa na huku bajaji zimeshamiri kwelikweli na nimegundua jamaa wanapata shida kapata spea parts za bajaji. Na kilichopo huku jamaa wanapata spea parts baadhi kwa wauzaji wa spea za pikipiki.
So ninaomba msaada wenu wanajamvi nataka nifanye mpango wa kufika Dar kukusanya bidhaa ningependa kufahamu minimum Capital ni shiling ngapi na Maximum Capita ni shilingi ngapi inayotakiwa kuwekeza kwa faida.
Natanguliza shukrani za dhati.
 
vipi mkuu kuna pharmacy za kutosha hapo?. nataka nije nifanye biashara ya dawa.

pharmacy zipo za kutosha mkuu but unaweza jaribu wilaya mpya za jirani huko kidogo pharmacy ni utata yaani ni chache.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom