Msaada juu ya kuprint data zote kwenye drop down list kwenye excel 2013

Mesorphine

Member
Oct 11, 2020
51
32
Habari ya uzima wakuu katika jukwaa la technolojia.

Naomba mwenye ujuzi wa kwenye ms. excel anisaidie jinsi ya kuprint data zote kwenye “drop down menu” automatically kwa kutumia button moja.

Au hata kwa kutumia VBA code azinisaidie then kuziset kwa kuedit sheet ya drop down list na cell ntafanya .

Nimejaribu pitia youtube sana site mbalimbali kutest VBA code walizoweka ila kila nikizitumia zinagoma, nimefanikiwa kujua kuprit data moja moja tu.

Ahsanten.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom