Msaada juu ya kupata cheti cha uraia

Jmujun

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
965
522
hbr wana jf,
kama title ilvo napenda kujuzwa juu ya kupata cheti changu cha urai nikiwa tofauti na wilaya nilikozaliwa, inawezekana wilaya nyingine wakanipatia hiki cheti, naomba msaada kwa anaye elewa sana haya maswala
 
Mie mwenyewe sina
Itabidi nitoe jicho kuona utakachoshauriwa
 
Back
Top Bottom