Msaada juu ya kupata card ya uanachama wa CCM

nyani jike

Senior Member
Feb 23, 2016
176
222
Wadao habari za asubuhi naombeni msaada nipo wilaya ya temeke nahitaji card ya chama cha mapinduzi rasmi na Mimi.ninataka kuanza harakati za kisiasa kupitia chama cha mapinduzi. Angalizo;sitaki utani wala matusi naombeni procedures tu!asanteni
 
Procedure ni ngumu lakini zinawezekana...anza kwanza kujifunza majungu na kujikomba, hapo utajijengea jina mara tu utakapoingia
 
Wadao habari za asubuhi naombeni msaada nipo wilaya ya temeke nahitaji card ya chama cha mapinduzi rasmi na Mimi.ninataka kuanza harakati za kisiasa kupitia chama cha mapinduzi. Angalizo;sitaki utani wala matusi naombeni procedures tu!asanteni

Hongera na ni haki yako kikatiba.
Nenda ofisi yoyote ya CCM iliyo karibu nawe
 
Vp yangu nilichukua kipindi cha makamba engutoto arusha sijawah lipia hata mara moja ,bado inafaa nikilipia malimbilizo yote?
 
hapo unapoishi hakuna hata mjumbe wa serikali za mtaa uliza tu ofis za Chama Cha Mapinduzi zilipo utafika, karibu sana usisikilize maneno ya kihuni humu JF kuna watu wamenunuliwa wahi kachukue kadi yako mama tuijenge Tanzania yetu
 
Vp yangu nilichukua kipindi cha makamba engutoto arusha sijawah lipia hata mara moja ,bado inafaa nikilipia malimbilizo yote?
Nenda ofisi yoyote ya CCM kailipie malimbikizo yote watakukatia risiti itakuwa iko hai.Ukishalipia malimbikizo haina shida iko vizuri tu
 
Wadao habari za asubuhi naombeni msaada nipo wilaya ya temeke nahitaji card ya chama cha mapinduzi rasmi na Mimi.ninataka kuanza harakati za kisiasa kupitia chama cha mapinduzi. Angalizo;sitaki utani wala matusi naombeni procedures tu!asanteni

Anza kwanza kujifunza uchawi, umbea na majungu

Kisha malizia kujifunza taarabu then wenyewe watakutunuku kadi ya uanachama
 
Kumbe unajua Chama unachokitaka lazima utatukanwa, sababu ingekuwa unajua izuri wa hicho Chama usingejihami kutukanwa.
 
Vijana wengi wasomi hawajui kutumia fursa.Fursa mojawapo ni kujiunga na chama tawala ambacho chaweza kukupa fursa ya kuchaguliwa kuwa kiongozi ndani ya serikali nk wakikuona una uwezo na unafaa

Ukijiunga chama cha upinzani ni kupoteza wakati wako na fursa.Hivi unategemea Raisi achague mkuu wa wilaya au mkoa kutoka kijana aliye chama cha upinzani hata kama ana akili kuliko profesa yeyote? Katiba kwanza haimruhusu.

Vijana wengi mwangalieni Mkuu wa mkoa MAKONDA ni kijana lakini aliyejitoa kufanya kazi na chama tawala huyo kapaa mkuu wa mkoa akiwa bado kijana kabisa.

Nina uhakika vijana kama akina Zitto Kabwe,John MNYIKA.Halima MDEE wangekuwa CCM siku nyingi wangeshakuwa mawaziri,wakuu wa mikoa na hata mabalozi wa Tanzania nje ya nchi.Lakini walipo mwisho wao ubunge!!!

Vijana wasomi harakisheni jiungeni CCM haraka ingieni jumuiya ya vijana wa CCM anzeni kuwa ACTIVE .Changamkeni kwenye maswala ya Chama onyesheni uwezo wenu huko

Msomi yeyote anatakiwa ajiweke mahali ambapo ana uhakika wa kwenda mbali.Chama tawala ndicho chaweza msaidia kufika mbali.(BIDHAA YOYOTE UNATAKIWA KUIWEKA MAHALI INAPOUZIKA -PRODUCT POSITIONING)

Nendeni matawi ya CCM yaliyo karibu jiungeni haraka CCM
 
Mkuu umeongea jambo la maana sana....Nadhani umeeleweka zaidi ya maelezo yako.
 
Wadao habari za asubuhi naombeni msaada nipo wilaya ya temeke nahitaji card ya chama cha mapinduzi rasmi na Mimi.ninataka kuanza harakati za kisiasa kupitia chama cha mapinduzi. Angalizo;sitaki utani wala matusi naombeni procedures tu!asanteni
Nani kasema unafanya utani? Nenda Tawi lililo karibu Tanzania Bara au Tanzanua Zanzibar, utapewa fomu utaijaza. CCM ni Chama makini sasa zaidi ya miaka 60 wamejijenga vilivyo dhidi ya mamluki na maadui kujipenyeza. Kwa hiyo itabidi usubiri nao wajiridhishe kuwa wewe ni wewe kweli na huna makandokando. Wakati ukisubiri nakuomba usome itikadi za chama na ahadi za mwanatanu, www.ccm.org au hapohapo tawini watakuwa katiba na vipeperushi. Katibu mwananchi tujenge nchi yetu.
 
Vijana wengi wasomi hawajui kutumia fursa.Fursa mojawapo ni kujiunga na chama tawala ambacho chaweza kukupa fursa ya kuchaguliwa kuwa kiongozi ndani ya serikali nk wakikuona una uwezo na unafaa

Ukijiunga chama cha upinzani ni kupoteza wakati wako na fursa.Hivi unategemea Raisi achague mkuu wa wilaya au mkoa kutoka kijana aliye chama cha upinzani hata kama ana akili kuliko profesa yeyote? Katiba kwanza haimruhusu.

Vijana wengi mwangalieni Mkuu wa mkoa MAKONDA ni kijana lakini aliyejitoa kufanya kazi na chama tawala huyo kapaa mkuu wa mkoa akiwa bado kijana kabisa.

Nina uhakika vijana kama akina Zitto Kabwe,John MNYIKA.Halima MDEE wangekuwa CCM siku nyingi wangeshakuwa mawaziri,wakuu wa mikoa na hata mabalozi wa Tanzania nje ya nchi.Lakini walipo mwisho wao ubunge!!!

Vijana wasomi harakisheni jiungeni CCM haraka ingieni jumuiya ya vijana wa CCM anzeni kuwa ACTIVE .Changamkeni kwenye maswala ya Chama onyesheni uwezo wenu huko

Msomi yeyote anatakiwa ajiweke mahali ambapo ana uhakika wa kwenda mbali.Chama tawala ndicho chaweza msaidia kufika mbali.(BIDHAA YOYOTE UNATAKIWA KUIWEKA MAHALI INAPOUZIKA -PRODUCT POSITIONING)

Nendeni matawi ya CCM yaliyo karibu jiungeni haraka CCM
Asee ilibaki kidogo tu nikuunge mkono bt nimegundua huna fact.
 
Wadao habari za asubuhi naombeni msaada nipo wilaya ya temeke nahitaji card ya chama cha mapinduzi rasmi na Mimi.ninataka kuanza harakati za kisiasa kupitia chama cha mapinduzi. Angalizo;sitaki utani wala matusi naombeni procedures tu!asanteni
Wameshamaliza uteuzi, achana nao.
 
Back
Top Bottom