Msaada juu ya kupata card ya uanachama wa CCM

Anza kwanza kujifunza uchawi, umbea na majungu

Kisha malizia kujifunza taarabu then wenyewe watakutunuku kadi ya uanachama

Haya ni maisha yangu babu yasikutoe povu na ni haki yangu usiniletee mihemko yako peleka ukajambe mbele
 
Sasa Nyani uende kwenye chama cha mafisi mtatubakizia hii nchi kweli?

Hayo mawazo yako ulitakaje kwani?alafu nishasema mapovu kafulieni Nguo haya ni maisha yangu na nchi yangu sitaki unyumbu Wa kisingeli mnikome mfyuuuuuuu
 
hapo unapoishi hakuna hata mjumbe wa serikali za mtaa uliza tu ofis za Chama Cha Mapinduzi zilipo utafika, karibu sana usisikilize maneno ya kihuni humu JF kuna watu wamenunuliwa wahi kachukue kadi yako mama tuijenge Tanzania yetu

Asante sana Mkuu kumbe ni rahisi sana kesho nitakamilisha asubuhi na nitakuja na mrejesho.ubarikiwe sana nipo tayar kuijenga Tanzania yangu mpaka mwisho kwa shida na raha,uzalendo daima.
 
Wadao habari za asubuhi naombeni msaada nipo wilaya ya temeke nahitaji card ya chama cha mapinduzi rasmi na Mimi.ninataka kuanza harakati za kisiasa kupitia chama cha mapinduzi. Angalizo;sitaki utani wala matusi naombeni procedures tu!asanteni
Hiyo ni kaxi ndogo ingia ktk website ya BAVICHA kajaze fomu online inakua approved kwa siku tatu vuaala kadi inakudondokea
 
Wadao habari za asubuhi naombeni msaada nipo wilaya ya temeke nahitaji card ya chama cha mapinduzi rasmi na Mimi.ninataka kuanza harakati za kisiasa kupitia chama cha mapinduzi. Angalizo;sitaki utani wala matusi naombeni procedures tu!asanteni

Nyani jike yupo kwenye JOTO
 
Naona boss wangu umeziona fursa Nyingi ukurugenzi udas na UDC poa changamkia hizo fursa
Wadao habari za asubuhi naombeni msaada nipo wilaya ya temeke nahitaji card ya chama cha mapinduzi rasmi na Mimi.ninataka kuanza harakati za kisiasa kupitia chama cha mapinduzi. Angalizo;sitaki utani wala matusi naombeni procedures tu!asanteni
 
kuwa mvumilivu sasa hiv tuna hakiki wanachama hewa kwanza. Zoez likiisha tutatangaza.
 
Back
Top Bottom