Msaada juu ya kufanya nywele za mwanaume ziwe nyeusi na zenye afya

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,780
2,547
Wakuu habari zenu,mimi ni mwanaume.nimekuwa na tatizo la kutokuwa na nywele nyeusi zilizokolea vizuri.nywele zangu zinakuwa na rangi kama nyekundu vile so zimekuwa zikininyima raha.sasa wakuu naombeni msaada nitumie mafuta gani au dawa gani inayoweza kuzifanya ziwe nyeusi za kuvutia na mwonekano mzuri NB sio kwamba nataka nizikalikiti ziwe kama za kike na sipo interested na kupaka piko msije mkanielewa vibaya nataka ziwe nyeusi sana coz hii rangi yake kama nyekundunyekundu inanifanya nisijiskie vizuri na nisiwe na mwonekano mzuri kichwani TANX IN ADVANCE
 
Kama unataka nywele black sharti ule vizuri.
Kula dawa ya minyoo.
Osha nywele zako na maji ya baridi.
 
Kula Misosi mizuri pia tafuta pesa iwe mfukoni na kwenye accounts zako(mobile acc na Bank acc)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom