MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,547
Wakuu habari zenu,mimi ni mwanaume.nimekuwa na tatizo la kutokuwa na nywele nyeusi zilizokolea vizuri.nywele zangu zinakuwa na rangi kama nyekundu vile so zimekuwa zikininyima raha.sasa wakuu naombeni msaada nitumie mafuta gani au dawa gani inayoweza kuzifanya ziwe nyeusi za kuvutia na mwonekano mzuri NB sio kwamba nataka nizikalikiti ziwe kama za kike na sipo interested na kupaka piko msije mkanielewa vibaya nataka ziwe nyeusi sana coz hii rangi yake kama nyekundunyekundu inanifanya nisijiskie vizuri na nisiwe na mwonekano mzuri kichwani TANX IN ADVANCE