msaada juu ya huawei U8650

kdany

Senior Member
Jul 20, 2012
149
25
wakuu habar za asubuhi,nnatumia simu ya Huawei u8650 but nikisave no.za simu inaniambia database full the contact can't be saved..but nikiangalia kwenye available space ya simu na line bado kabisa kujaa...halafu kuna majna ambayo nlyasave nayo hayaonekan mda mwngne huwa yanarud yenyewe na kwenye dialed calls n no.tu zinaonekana....naombeni msaada wakuu naamin jamii forum haishindwi kitu..thank you in advance.
 
hiyo phone memory iko full futa sms na hizo aplication zi move ziende kwenye
memory card so huwa hizo simu ni hazina phone memory kubwa
 
jaribu kufuata maelezo ya kwanza yaani kufuta baadhi ya apps kisha ingia kwenye sehem ya phonebook na utafute sehemu ya ku-import majina kisha uyaimport toka kwenye simcard..........kama bado kwaherii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom