Antachable_kid
Member
- Jun 20, 2012
- 94
- 39
Wadau natumia iphone 7 kuna changamoto nimeanza kuipata sijajua kama kuna mtu nae iliwahi kumtokea niko hapa kutafuta solution juzi simu yangu ilikua inakubali vizuri kushare hotspot lakin nimeamka asubuhi nashindwa kabisa kuipata hotspot na kibaya zaid nikiweka line ya tigo hotspot inakuja kama kawaida kuna yoyote ambae alipata tatizo hili kwa line yake ya halotel kwenye iphone 7?
Natanguliza shukran zangu kwenu
Natanguliza shukran zangu kwenu