Msaada juu ya hii pete

Kuna mdada alikua anasherekea birthday basi party kama lote
Si boyfriend akaja kwa mbwembwe na washkaj zake akampigia magoti kumsapraiz anatoa Pete mfukoni..watu weewee..bibie Analia haamini.akavishwa
Baada ya party akaanza kuugua tumbo anaharisha wa kaenda lodge bwana anataka amfanye.bibie akamwambia subiri bwana anasema nipe hivohivo.katikati uharo ukambana akamuomba bwana naomba break niende chooni,bwana akamwambia jikaze..katika kuendelea pwaa bibie akauachia kitandani...bwana akaanza kupanic unagawa kwa (kule maeneo ya buza)
Kuanzia sasa hivi mi nawe basi
Kesho bidada akaona isiwe tabu.akaenda kwa sonara akaiuze Pete..sonara akamwambia Dada hizi ni zile za buku buku huko sokoni mbona...
 
Tupo town kununua pete nikaona pete nzuri ina Tanzanite tsh 8,500,000. Nikamwambia achukue hiyo kwa ajili ya uchumba. Jamaa kiswahili kikawa kingi mwishowe kanunua pete tsh 1,100,000. Nimemshangaa jamaa.
kuna jamaa anaitwa Kiduku Lilo atakusaidia km una uwezo , yeye kashauri km huna usioe
 
Back
Top Bottom