kwa ninavyojua mimi ni almost like twice that price.
mkuu Isaac Chikoma Unamaanisha bei anayotaka kununuwa huko anakotaka kuitowa na kuileta hapo nyumbani itakuwa ni sawa sawa na bei anayonunuwa toka huko nje kivipi hebu fafanuwa zaidi?kwa ninavyojua mimi ni almost like twice that price.
Mkuu Songíto Hiyo gari unaitowa toka wapi kuja hapa Tanzania?Songíto;5153231 said:asante mkuu nimekupata!!
mkuu Isaac Chikoma Unamaanisha bei anayotaka kununuwa huko anakotaka kuitowa na kuileta hapo nyumbani itakuwa ni sawa sawa na bei anayonunuwa toka huko nje kivipi hebu fafanuwa zaidi?
Mkuu Songíto Hiyo gari unaitowa toka wapi kuja hapa Tanzania?
Songíto;5153134 said:habari wakuu, kuna gari nataka kuiagiza, ni toyota allex ya mwaka 2001, na ni cc 1500. CIF price kuja bandari ya dar ni USD 3750!! Je nitalazimika kulipia kiasi gani kama tax na gharama nyingine za bandari?
naomba msaada wenu wakuu..
mkuu Isaac Chikoma Unamaanisha bei anayotaka kununuwa huko anakotaka kuitowa na kuileta hapo nyumbani itakuwa ni sawa sawa na bei anayonunuwa toka huko nje kivipi hebu fafanuwa zaidi?
Mkuu Songíto Hiyo gari unaitowa toka wapi kuja hapa Tanzania?
TRA Retail sailing Price ya Toyota Allex <= 2002 ni $ 35,660 Depreciation 80% Kodi yake itakuwa 4,973,404 + Registration & Other Charges itakutoka around T 4.4M Port charges itakauwa around Laki 2 Delivery order ni around 130,000
Andaa 4.9M Bado Agency Fee hapo itategemea na Clearing Agent uliye kubaliana naye kufanya kazi hiyo
Songíto;5153231 said:asante mkuu nimekupata!!
Kwa gari kama hiyo ukiacha bei ya kununulia aliyotaja hapo juu tax yake ni kama 4mil,nyinginezo kama laki5, dumping tax kwa vile ni ya zamani sheria hii imepitishwa juzi juzi tu na serikali 25% ya bei uliyonunulia. Ukijumlisha vyote inakuwa sawa tu na mara mbili ya bei ya kununulia,japokuwa inwezaakuwa chini kidogo ya hapo kama 10,11 mil.ukitaka tafuta gari ya mwaka 2005 kuendelea ili kukwepa hiyo dumping tax.

Ni 2005 au atafute ya 2004 ?
maana navyojua uchakavu ni miaka 10? au ile ya miaka nane bado wanaendelea nayo?
Songíto;5155955 said:Na je wakuu, ni Clearing Agents wapi ambao wapo sharp na wanafanya kazi vizuri kwa bei nzuri pia? japo nikiwajua wawili au watatu ningefurahi na address zao
sina uhakika sana na hiyo, nimefikiri 2005 ndo atakuwa kwenye safe side zaidi.
Kama upo Dar es Salaam Nenda pale ccm mkoa mtaa wa Lumumba ofisi namba 113 first floor jamaa wapo vizuri kwa bei na haraka ya kutoa mzigo, wanaitwa uwanji general traders
Kama upo Dar es Salaam Nenda pale ccm mkoa mtaa wa Lumumba ofisi namba 113 first floor jamaa wapo vizuri kwa bei na haraka ya kutoa mzigo, wanaitwa uwanji general traders