Interesting ngoja wajeWakuu salaamu.
Ningependa kujua ni gharama kiasi gani hutumika kukomboa mzigo bandalini.
Kwa mfano.
Mzigo wa nguo 200pcs
Ulioununua kwa 500000
Je, ni shiling ngapi inatumika jumla hadi kuupata?
Ahsante sana.
Huo Mzigo Umenunua Kutoka Nchi Gani ?Wakuu salaamu.
Ningependa kujua ni gharama kiasi gani hutumika kukomboa mzigo bandarini.
Kwa mfano.
Mzigo wa nguo 200pcs
Ulioununua kwa 500000
Je, ni shiling ngapi inatumika jumla hadi kuupata?
Ahsante sana.
Nimekuuliza nchi kutokana urahisi uliopo.Ni mzigo wa mfano, na hesabu za mfano. So majibu ndio yanahitajika kuhusu clearance, iwe nimeununua USA, CHINA, INDIA, BANGLADESH, UK etc.
Nafikiri bado muuliza swali hamjamuelewa alichouliza na atakuwa bado hajapata jibu alitakalo.Mfano ukiangiza gari na ukichelewa kwenda kulichukua unatumia hii formular ya kujua gharama..
storage rate ni dollar 1.5 kwa mita za ujazo (CBM) kwa siku, na huanza kutozwa baada ya siku 7. Toyota Prado ina max. CBM 16.939, so storage kwa siku itakua 1.5 x 16.939 = 25.408 plus VAT.
Yaani ukifanya uzembe bandarini unaweza kuukimbia mzingo wako....
Nimekuuliza nchi kutokana urahisi uliopo.
Mfano kama mzigo wako uko China, na ni mzigo mdogo tu ( Usiojaa Container ) Na Kwa Kuwa Waagizaji Wa Aina Hh Wadogo Wadogo Ni Wengi.
Hivyo Kuna Kampuni Zinazokusanya Mizigo Hiyo Hiyo Midogo Midogo Na Kujaza Container Lao, Wakausafirisha Mpaka Bandari Wakalipa Kila Kitu Mpaka Godown Kwao.
Wewe Unaenda Tu Godown Kwao Unalipia Na Kuchukua Mzigo Wako Bila Kukutana Na Wav Wa Clearing Wala TRA.
N.B Hii Ni Kwa Njia Ya Maji, Ukitaka Kwa Ndege Au Posta Utalipia Ushuru Physically Na Kodi, Isipokuwa Bandari Ambako C&F Pekee Ndo Wanaruhusiwa Ku!Clear Mizigo Na Wana Gharama Zao Tena.
Nafikiri bado muuliza swali hamjamuelewa alichouliza na atakuwa bado hajapata jibu alitakalo.
Anahitaji kujua akiagiza mzigo wake ukafika bandarini,je anatakiwa afuate procedures gani hadi kuutoa pale bandarini?Na Kama Kuna gharama za kulipia ni zipi na anamlipa nani ili aitoe pale?
Na Kama Kuna malipo ni kiasi gani?
Achana na hizo delay charges au storage charges bali anataka gharama za kuvusha tu pale bandarini
Hizo nguo pc 200 zinafikaje bandarini bila kupitia kwa wakala mtumaji?
Huyu anataka nunua nguo hivyo anauliza ataziletaje.
Ushauri huko uliponunulia ulizia kama wana bale compressing ili zote ziwe compressed afu ulete kama bales. Zikifika unalipia kutokana na ukubwa wa bale
Silent Ocean, GNM Cargo, MokhaOooh! Kaka Ahsante! Naweza kujua hizo kampuni?
Gharama za kutoa mzigo zinategemea na C&F charges, TRA ambayo inajulikana, Yard charges, transport na nyinginezo kama TBS kama mzigo wako unahusika.Vipi naweza jua garama ya kodi ya tra kuutoa mzigo bandarini, yaani kuna namna naweza calculate kua mzigo huu kodi yake itakua Tsh ngapi? Kwa loose cargo au contana lote. Ilikusaidia tusipigwa sana na watu wa clearing and forwarding?