Msaada juu ya chuo kikuu cha ardhi

ngotho

Senior Member
Jun 18, 2021
142
110
Wakuu, mdogo wangu amechaguliwa vyuo zaidi ya kimoja, chuo cha ardhi kikiwemo, lakini toka asubuhi mpakaa saiv (saa tatu usiku) akijaribu ko-login inakataa.. alitaka ku-confirm hicho chuo cha ardhi lakini ndo ivoo.

Wahusika tunaomba mtusaidie.
 
Wakuu, mdogo wangu amechaguliwa vyuo zaidi ya kimoja, chuo cha ardhi kikiwemo, lakini toka asubuhi mpakaa saiv (saa tatu usiku) akijaribu ko-login inakataa.. alitaka ku-confirm hicho chuo cha ardhi lakini ndo ivoo.
Wahusika tunaomba mtusaidie..
Mfumo wao ndivyo ulivyo vuta subira ingia kila baada ya lisaa
 
Sasa nyie wakubwa,. Mnapoisoma hii thread yangu bila kutoa msaada, mnapita bila kunisaidia. Ndo maana yake nini?? Kwamba haieleweki au wahusika hawapo??
Toeni basi msaada pliz
 
Sema usimsingizie mdogo wako ,wew ndo mwenye tatzo,mfumo wa Ardhi haufunguki ovyo ovyo tu
 
Umemkamata
Sasa wewe unataka nikudanganye ndo uridhike au?? Mimi nakuambia yangu nilisha-confirm hamuelewi..
Unazani mimi siwezi kuwa na mdogo wangu?? Au unazani mdogo wangu lazima tusiwe naye level moja???

We toa msaada, kama hujui bora utulie tu usijishkize et mdogo wangu...
Daa!! Tanzania bhana!!
Jambo muhimu mnaacha halafu lisilokuwa na umuhimu ndo mnang'ang'ana nalo... Sasa kama. Ni mdogo wangu hamuwezi kumsaidia??????
 
Sa unalia au,mbona gazeti
 
Ata me iligoma lakini jana imekubali na nime confirm mteli aingie now fresh tu

Screenshot_20210919-203604.png
 
Back
Top Bottom