Msaada juu ya Amani centere for street chidrean

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Habari wadau samahan sana naomben msaada wenu kwa yeyote ambaye amewahi fanya kazi na hawa jamaa plz anielekeze wanapatikana moshi maeneo gani?.. nataka kuonana nao ila sijui ofisi zao zilipo. na kwa anaejua mishahara yao ikoje ningefurahi zaidi tafadhali sana
 
huwa nakiona kibao chao maeneo ya maduka ya chini, barabara ya kuelekea kcmc,kimeonyesha kulia sijui exactly ilipo, kwani we uko wapi?
 
asanten wakuu wa moshi kwa ushirikiano wenu mungu awabariki mimi nipo huku kibosho karibia na colege ya tumain masoka
 
Mimi nipo kibosho huku masoka karibia na colege ya tumain
 
asanten wakuu wa moshi kwa ushirikiano wenu mungu awabariki mimi nipo huku kibosho karibia na colege ya tumain masoka
 
Hawa sio kwamba wapo pale mkabala na Magereza ukiwa unaelekea mjini unakunja kushoto?
 
asanten wakuu wa moshi kwa ushirikiano wenu mungu awabariki mimi nipo huku kibosho karibia na colege ya tumain masoka

shuka kituo cha Magereza. Ukitokea Mo town kuna barabara kushoto kwako shuka nayo mwendo wa kama km 1. Upande wa kulia utakuwa umefika. Kiufupi hawa jamaa ni NGO inayodili na watoto hasa waliopo kwenye maisha magumu. Mshahara kawaida, tafuta experience kwanza ndo uje mafao mkuu.
 
Daah! asante mkuu kwahiyo nikishuka magereza nikiomba maelekezo kutoka kwa watu nitapata? kuna mdau aliniambia eti ipo karibu na ushirika colege vipi mishahara yao inarange sh ngap kwa mtu mwenye kadigri kamoja ili nipime mzani
 
Back
Top Bottom