Msaada juu ya alliance global business

davibby

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
317
244
Wanajamvi nisaidien kuna mtu ananishawish aniunganishe kweny hii biashara ya mtandao mm mwenyew siielew vizur ila ananiambia unapata mafanikio haraka na malengo yake ni kwaajil ya kupunguza umaskini tanzania. Sasa wenye uzoefu wanifumbue macho
 
Mambo yote yayotumia kigezo cha: utapata haraka, fasta, mara moja, ndani ya wiki moja, nk, hakuna kitu hapo. Ni kutapeliana tu na kupotezeana wakati. Mfano mtu anakwambia, Ingiza laki 5 kwa wiki moja, nk wakati ndio kwanza unaanza, ni uongo tu.
 
Nmefikiria namuuliza biashara inafanyaje kaz hawasem wanadai mpka ufike ofisini ndo uambie nkaamua kuachana nao.
 
Kama nia ni kupunguza umasikini Tz,waambie wagawe ng'ombe kwa kila familia maskini Tz
 
Back
Top Bottom