Msaada juu kilimo cha dengu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada juu kilimo cha dengu

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by ALF, Feb 4, 2013.

 1. ALF

  ALF Senior Member

  #1
  Feb 4, 2013
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wana jamii, nimejitokeza kutaka kupata msaa kwa undani kwa mtu anafahamu kilimo cha Dengu,
  1. Mbegu za dengu zinapatikana wapi?
  2. Matayarisho yake yaweje.
  3. Namna za kuzipanda ikiwemo nasafi kutoka shins moja mpaka jingine, na umbali kutoka mstari mpaka. Matunzo yake zikiwa shambani.
  4. Zinachukua muda gani tangu kupandwa mpaka kuvunwa.
  5. Soko lake likoje.
   
 2. m

  mzee wa manzese JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2014
  Joined: Oct 31, 2012
  Messages: 624
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Dengu inachua miezi mitatu
   
 3. NG'HOMELE

  NG'HOMELE JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2017
  Joined: Jan 13, 2014
  Messages: 469
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Njooni huku mtoe ushauri siasa waachieni wanasiasa.
   
Loading...