Simu inapiga na kupokea ila internet haikubali. Niwahi kupeleka moja pale Mlimani City wakanifungulia kwa kama dakika moja. NI JINSI GANI YA KUIFUNGUA KWA WANAOJUA?