MSAADA: JOTO LA DAR NI KALI NATAFUTA AC AU AIR COOLER

malkiamrembo

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
388
250
Ndugu zangu kwa joto hili urembo wote utatuisha natafuta wapi nitapata Air condition ndogo ya bei nafuu au Aur cooler kwa bei rafiki jamani nisaidieni kwakweli..Loll hili joto la dsm sasa ni hatari sana.
Naomba kama kuna mtu anaufahamu na mambo hayo anisaidie. Hapa
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,565
2,000
Nenda kariakoo kuna vifeni vidogo vya kutumia betri hata ukiwa kwenye daladala au sehemu zisizo na AC unakatoa kwenye pochi kanakupa burudani ya roho!
 
chef detat

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
16,145
2,000
Ndugu zangu kwa joto hili urembo wote utatuisha natafuta wapi nitapata Air condition ndogo ya bei nafuu au Aur cooler kwa bei rafiki jamani nisaidieni kwakweli..Loll hili joto la dsm sasa ni hatari sana.
Naomba kama kuna mtu anaufahamu na mambo hayo anisaidie. Hapa

vipi ulipata ? na kwa bei gani ? mimi pia nahitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom