Msaada: Joining instruction chuo cha afya.

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Habari zenu wakuu,
Nina dogo kamaliza form four na amebahatika kuchaguliwa Singida College of Health and Technology.

Naomba anaweza kunipatia joining instruction ya chuo hiki hata ya mwaka Jana kama ya mwaka huu bado haijatoka.

Asanteni.
Siku njema kwenu nyote.
 
Subiria chuo kitawasiliana na wewe na tembelea profile yako mara kwa mara.
 
Hi .plz naomba kujua mchanganuo was cozi ya udaktari na majukumu ya kila daktari kwa kila kitengo coz nataka kuwa daktari baadae sjajua nitakuwa daktari was Nini napenda kujua mapema nianze kukuza uwezo na kutafuta rol modos. Usintajie macho pua Wala makio spendi huwa navutiwa na vidonda na mfumo was damu. Ahsanteni
 
Back
Top Bottom