Msaada jinsi ya kuweka blog banner ambayo ni responsive

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,237
2,000
Wanabodi habari, naomba kufahamishwa namna ya kuset blog ads banner katika mfumo wa responsive maana Kila nikiweka kwenye simu muonekano wake unakuwa mbaya ..ni code Gani nafaa kuweka..!?

Pia naomba msaada wa kujua namna ya kuset slide ads banner kwenye blog...yani natengeneza vipi haya makitu..ama Kuna online software Gani nzuri KwA ajili ya hizi mambo!?

Shukran.
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,969

Ili ni tatizo la blog yako sio Ads ni sawa na kuweka picha kwenye container ambayo haivutiki/Non-flex hata hivyo siwezi kuongea sana kwa kuwa haujaweka link tuone
 
BoomBoy

Member
Feb 13, 2020
17
95
Kwa WordPress, ili ufuraishe maisha, kutengeneza Sliders, PopUps, Sidebar Banners Header/Footer Banners na In-Content Banners tafuta Plugin ya WP Bakery Pro.

Utakuwa umesolve kila kitu na possibilities kuongezeka.
 
AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,237
2,000
Ili ni tatizo la blog yako sio Ads ni sawa na kuweka picha kwenye container ambayo haivutiki/Non-flex hata hivyo siwezi kuongea sana kwa kuwa haujaweka link tuone
But how maana naona many blogs , mfano michuzi, Saleh jembe, binzuber ads banner zao ziko responsive !? Nataka ziwe Kama vile kwenye blog yangu pia how can I do like that!?
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,969
2,000
But how maana naona many blogs , mfano michuzi, Saleh jembe, binzuber ads banner zao ziko responsive !? Nataka ziwe Kama vile kwenye blog yangu pia how can I do like that!?
Ndio maana nilikuambia weka link ya blog hutaki, tatizo lenu huwa mnataka vitu kama vya flani ila a hamko tayari kusikiliza ushauri, nachokuambia nakielewa weka link tuone
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom