Msaada: Jinsi ya kuwa Wakala wa Meridianbet

Rais Wa Malofa

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
681
773
Habari za muda huu waungwana.

Kuna vishilingi mbili nimevipata sehemu kwa haraka haraka nimefikiria kuviwekeza kwenye uwakala wa betting.

Kimsingi kuna kampuni nyingi za betting Tanzania ila mimi ningependelea kuwa wakala wa Meridian.

Naomba kwa anayefahamu utaratibu wa kupata hiyo huduma anisaidie tafadhali.

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom