Wana jf.
Nisaidieni jinsi ya kuunganisha vyeti ya cheti original na matokeo ya ku-reseat.
fafanua zaidi - TCU au HESLB
atumie super-glue au hata patex,aradite ni kwaajili ya kuunganisha vyuma tu!
una akili fupi kama maisha ya funza
atumie super-glue au hata patex,aradite ni kwaajili ya kuunganisha vyuma tu!