Msaada: Jinsi ya kuua Mapaka Pori

Nilikuwa na paka ,alikuwa anakula vizuri hapati njaa anakaa ndani,aisee paka akikuzoea anatia huruma kumwua.

Sema hayo mapaka ya nje yanayozunguka hayafai
 
Sijui yameoteshwa jana mchana mzima hadi usiku yalikuwa yanapiga kelele leo naona yamekuwa kimya mbaya zaidi yanafaa mlangoni getini ukitokeza tu yanakimbia
Nilikuwa na paka ,alikuwa anakula vizuri hapati njaa anakaa ndani,aisee paka akikuzoea anatia huruma kumwua.

Sema hayo mapaka ya nje yanayozunguka hayafai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwezi uliopita kuna mapaka mawili yanakuja dirishani kwa nje yanalia si unajua zile milio yao,hata kama huna imani potofu unaanza kuwaza,nilikuwa natoka saa nane usiku nayafukuza, mara baada ya lisaa moja yamerudi ,nahisi they were mating lakini ile milio yao inazingua sana
Sijui yameoteshwa jana mchana mzima hadi usiku yalikuwa yanapiga kelele leo naona yamekuwa kimya mbaya zaidi yanafaa mlangoni getini ukitokeza tu yanakimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuu ndiyo hivyo mara mlangoni mara karibu na dirisha yaani full wanga sasa leo nimeenda church siyasikii yakipiga kelele ila yanaudhi mno
Mimi mwezi uliopita kuna mapaka mawili yanakuja dirishani kwa nje yanalia si unajua zile milio yao,hata kama huna imani potofu unaanza kuwaza,nilikuwa natoka saa nane usiku nayafukuza, mara baada ya lisaa moja yamerudi ,nahisi they were mating lakini ile milio yao inazingua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Mimi ni miongoni ambao siwapendi paka kidogo, kwa kuwa siamini hawa Mapaka ni wema kabisa hasa hii mipaka Pori ambayo kazi yake ni kuzurura tu huwa muda mwingine nayaona kama mashirikina tu

Naomba mwenye u juzi wa kuua haya Mapaka. Sibarikiwi kuyaona paka ambaye sijawahi kumfuga

Ndugu @ Mshana ebu nisaidie

Nawachukia Mapaka Pori.msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Usafi wa mazingira utawafanya wakimbie bila kupenda... Na mafutataa pia

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom