Msaada: Jinsi ya kutumia Smartphone na Laptop kuingiza kipato

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,738
17,955
Wakubwa shikamooni, wadogo wenzangu habari za muda huu!

Mimi ni mwanafunzi ngazi ya chuo na nipo Arusha. Ukifuatilia thread zangu za nyuma, utaniamini kuwa Namaanisha ninachokiandika.

Sasa hapa Nina laptop ndogo na smartphone ambazo mimi mdogo wenu naomba mnisaidie wazo au fursa ya kufanya kazi yeyote mitandaoni (online) ili kuingiza kipato Cha kujikimu, japo elfu tatu kwa siku kwa ajili ya chakula tu huku Naendelea na masomo.

Nina basic computer skills.
AHSANTE
 
Nakushauri uza iyo pc upate mtaji nunua bidhaa au mitumba hapo memory moshi zenye ubora peleka sehemu zenye mahitaji apo arusha kwa mfano kwenye migodi au maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu
 
Nakushauri uza iyo pc upate mtaji nunua bidhaa au mitumba hapo memory moshi zenye ubora peleka sehemu zenye mahitaji apo arusha kwa mfano kwenye migodi au maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu
Hatujafunga Chuo mkuu
 
Back
Top Bottom