Msaada jinsi ya kutoa talaka

I

Ibra6

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Messages
293
Points
0
I

Ibra6

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2013
293 0
kufunga ndoa ni rahisi sana ila kuachana sio rahisi kama watu wng wanafikilia,
 
L

Ledwin

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Messages
227
Points
195
L

Ledwin

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2007
227 195
Habari zenu wadau!Kuna kaka angu amefikia kikomo cha uvumilivu kwenye ndoa yake(ya kiksristo) na ameamua kuivunja. Hajui taratibu za kufuata ili afanikiwe kutoa talaka. Msaada please kwa waijuao sheria
je mmesaidia kuinusuru hiyo ndoa ya ndugu yenu kwa kufunga na kuomba sana,Mungu hapendi kuachana jamani.
 
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
308
Points
250
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
308 250
Ahsante kwa maelekezo,ameandika barua tayari..anajiandaa kwenda baraza la kata kufanya kama ulivyosema.
Aisee poleni sana kwa hii kasumba. Mlifikia wapi by then??
 
E

Edward Nditi

Member
Joined
May 8, 2014
Messages
8
Points
45
E

Edward Nditi

Member
Joined May 8, 2014
8 45
Habari zenu wadau!Kuna kaka angu amefikia kikomo cha uvumilivu kwenye ndoa yake(ya kiksristo) na ameamua kuivunja. Hajui taratibu za kufuata ili afanikiwe kutoa talaka. Msaada please kwa waijuao sheria
[/QU

Kwa mujibu wa sheria ya ndoa kwa kawaida talaka haitolewi na mahakama bila kuwepo kwa hati ya kuthibitisha kwamba mgogoro wa wanandoa umeshindwa kutatuliwa.Hati hii inatolewa nna Baraza la usuluhishi ambalo nafkiri linapatikana kila Kata.
Mlalamikaji atapeleka maombi ya talaka akiambatanisha na hait hiyo toka baraza la usuluhish Mahakamani.Akitoa sababu za kuiridhisha mahakama kwamba ndoa haiwezi kurekebishika.Kawaida sababu hizo huwa ni Uzinzi ulopitiliza,Unyanyasaji,ulawiti kwa mwanandoa,kutelekeza mwenza kwa zaidi miaka3,mwenza kufungwa miaka 5 na zaid, nk.Je huyo anayetaka talaka kwa sasa ana sababu gani kati ya nlizotaja?Na kama haipo miongoni mwa hizi,Sababu zake ni zip?
Talaka haitolewi tu kwa sababu hutaki kuish na mwenzio.Na kwa wakristu chombo pekee cha kutoa talaka ni mahakama pekeeake.
 
M

masanzakona

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
226
Points
225
M

masanzakona

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
226 225
Habari zenu wadau!Kuna kaka angu amefikia kikomo cha uvumilivu kwenye ndoa yake(ya kiksristo) na ameamua kuivunja. Hajui taratibu za kufuata ili afanikiwe kutoa talaka. Msaada please kwa waijuao sheria
Lazima vikao vya usuluhishi vifanyike kanisani au baraza la kata, kanisani wakishindwa kuwasuluhisha ndio watawapa go ahead ya kwenda mahakamani labda kama kuna short cut zingine ambazo anaweza kufanya lakini kisheria ni kama nilivyosema hapo juu
 
B

Balacuda

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Messages
1,224
Points
1,500
B

Balacuda

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2013
1,224 1,500
Kuna couple walifunga ndoa bomani kwa kuwa walikuwa dini tofauti Muislam na Mkristo.Lengo lilikuwa kupata uhamisho ili wakishakuwa pamoja wafanye mipango ya ndoa rasmi ya kikristo,
Ndoa ya bomani ilifungwa pasipo wazazi wa pande zote kufahamu wala kushirikishwa. Uhamisho ulikwama na Baadae mwanamke akaamua mwenda kwao kafunga ndoa ya kiislamu kwa ridhaa ya wazazi wakati hiyo ndoa ya bomani haijavunjwa. Sasa hapo inakuwaje wayfoward kwa huyo mmoja (mkristo) aliebaki hewani
 
NDOA YAO YA BOMA WAMEFUNGIA KATIKA MILA ZA JADI YA WATU WA WAPI??
 
B

Balacuda

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Messages
1,224
Points
1,500
B

Balacuda

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2013
1,224 1,500
NDOA YAO YA BOMA WAMEFUNGIA KATIKA MILA ZA JADI YA WATU WA WAPI??
Walifungia serikalini kwa maana neutral ground Dini wala jadi hazikuhusika ila imani yao walikuwa Muislamu kwa Mkristo by the time wanafunga hiyo ndoa mwaka 2014. Baadae mwanamke aka -withdraw kimya kimya akaenda kwao akafunda ndoa ya kidini(kiislamu) na kwa ridhaa ya wazazi wake
 
Forum statistics

Threads 1,315,672
Members 505,292
Posts 31,866,345
Top