Msaada jinsi ya kutoa talaka

Tysher

Tysher

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Messages
210
Points
225
Tysher

Tysher

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2013
210 225
Habari zenu wadau!Kuna kaka angu amefikia kikomo cha uvumilivu kwenye ndoa yake(ya kiksristo) na ameamua kuivunja. Hajui taratibu za kufuata ili afanikiwe kutoa talaka. Msaada please kwa waijuao sheria
 
CHAI CHUNGU

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
7,138
Points
1,250
CHAI CHUNGU

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2012
7,138 1,250
Sheria ya talaka za kikristo ni lazima mmoja afe!!!!!
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
14,021
Points
2,000
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
14,021 2,000
Ana ndoa ya Kikristo huku yeye mwenyewe si Mkristo?

Mwambie asome Mathayo 19:3-6
 
nkasoukumu

nkasoukumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Messages
825
Points
250
nkasoukumu

nkasoukumu

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2010
825 250
that he has to go to the marriage reconciliation board, at that stage if it is a catholic marriage he has to prove that there was no consent when he contracted that marriage and that is the only reason to breach a catholic marriage, the priest (catholic priest) argues that consent is the only thing that validated the marriage so if he will prove contrary then he will be awarded
 
Tysher

Tysher

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Messages
210
Points
225
Tysher

Tysher

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2013
210 225
that he has to go to the marriage reconciliation board, at that stage if it is a catholic marriage he has to prove that there was no consent when he contracted that marriage and that is the only reason to breach a catholic marriage, the priest (catholic priest) argues that consent is the only thing that validated the marriage so if he will prove contrary then he will be awarded
Umesema?? Hiyo lugha me mgeni nayo,sijakupata
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,843
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,843 2,000
Afile divorce mahakamani, ila Mahakama ikikubaliana na hoja zake na kukubali kuivunja ndoa hiyo then asahau kufunga ndoa nyingine kanisani. watu wanacheza sana na kanisa ndoa za kanisa si sawa na zile za kadhi za ukiona kigori mpya basi wewe talaka au unaongeza mke wa pili wa tatu na wanne.
 
Tysher

Tysher

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Messages
210
Points
225
Tysher

Tysher

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2013
210 225
Afile divorce mahakamani, ila Mahakama ikikubaliana na hoja zake na kukubali kuivunja ndoa hiyo then asahau kufunga ndoa nyingine kanisani. watu wanacheza sana na kanisa ndoa za kanisa si sawa na zile za kadhi za ukiona kigori mpya basi wewe talaka au unaongeza mke wa pili wa tatu na wanne.
Asante kwa ushauri. Je inachukua muda sana mpaka talaka kutoka? Coz anafanya kazi porini(tour guide),anataka ajue aombe ruhusa ya muda gani kazini.
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,422
Points
2,000
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,422 2,000
Sheria ya talaka za kikristo ni lazima mmoja afe!!!!!
sasa mmoja akifa itakuwa taraka!!sheria inaruhusu kuachana pale mmoja anapokuwa mzinifu!
 
Viva89

Viva89

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
1,253
Points
1,225
Viva89

Viva89

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
1,253 1,225
procedure ni kwamba,ukitaka talaka lazima upitie baraza la usuluhishi,ikishindikana watakupa form ambayo inakuruhusu kwenda mahakamani,sasa hiyo form ndio utampa wakili wako,umuelezee matatizo yooooote,from there ndo ataona kama sababu yako ya kutaka talaka inakubalika kisheria.Madhumuni ya ulazimu wa kupitia baraza la usuluhishi ni kwa sababu mahakama haitaki kuvunja ndoa,marriage is a sacred union.lazima waone kwamba ndoa yenu/mahusiano yenu yamefika kilele kabisa na hakuna namna ya kurudiana.
 
Baraza la kata alienda,wamekua kama wanamzingua hivi coz mwenzie(mkewe) alienda akasema uongo kwenye baraza kuwa wameshapatana,so baraza wakafuta hilo shauri. Inabidi aende akafungue tena hilo shauri kwenye baraza,au?
 
D

daisy

Senior Member
Joined
Jan 22, 2011
Messages
143
Points
225
D

daisy

Senior Member
Joined Jan 22, 2011
143 225

Huyo mwanamke inaonekana ana sauti hapo mtaani kuliko kaka yako. Sasa inabidi pesa itumike mwambie kaka yako ampe pesa/ rushwa huyo mtendaji wa kata ili apeleke upya malalmiko na kikao cha usuluhishi kiitishwe. Kwenye kikao akomae kuonyesha weakness za wife ambazo kimsingi ndio sababu zinatambulika kisheria kuwa akipatikana nazo basi hapo ndoa hamna na inabidi talaka itolewe. Mfano kama mke ni mzinzi, mkatili/abusive kwake na watoto. Hivyo baraza la usuluhishi litatoa certificate ya kuonesha usuluhishi umeshindikana, akishapata hiyo anyookee kwa lawyer ili mchakato wa kupeleka madai ya talaka katika mahakam husika uanze.
 
Nashukuru Daisy,kaka ameondoka nyumbani kwake huu ni mwezi wa 3 sasa,ameamua aishi mwenyewe. Walifikia pabaya coz alishamjeruhi kaka mara kadhaa,alishamuwekea sumu kwenye chakula na sasa anampigia simu kumtishia kuwa atamfanyia kitu mbaya kama hatarudi nyumbani kuishi na yeye(mwanamke). Ngoja nimwambie aurudishe mchakato baraza la usuluhishi kata.
 
georgeallen

georgeallen

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
3,769
Points
1,225
georgeallen

georgeallen

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
3,769 1,225
Habari zenu wadau!Kuna kaka angu amefikia kikomo cha uvumilivu kwenye ndoa yake(ya kiksristo) na ameamua kuivunja. Hajui taratibu za kufuata ili afanikiwe kutoa talaka. Msaada please kwa waijuao sheria
Mawifi wengine nuksi. Kwa jinsi unavyoichangamkia hii issue, haiyumkini basi wewe ndiye kinara wa kutaka wifi yako alimwe talaka!
 
D

daisy

Senior Member
Joined
Jan 22, 2011
Messages
143
Points
225
D

daisy

Senior Member
Joined Jan 22, 2011
143 225
Nashukuru Daisy,kaka ameondoka nyumbani kwake huu ni mwezi wa 3 sasa,ameamua aishi mwenyewe. Walifikia pabaya coz alishamjeruhi kaka mara kadhaa,alishamuwekea sumu kwenye chakula na sasa anampigia simu kumtishia kuwa atamfanyia kitu mbaya kama hatarudi nyumbani kuishi na yeye(mwanamke). Ngoja nimwambie aurudishe mchakato baraza la usuluhishi kata.
tena mwambie aandike kabisa barua kwa mtendaji wa kata akieleza hizo complaints dhidi ya mkewe, aipeleke kwa dispatch ipokelewe hapo ofisini ili muda ukipita say 3 months na hakuna kikao cha usuluhishi kimeitishwa, then anaweza kupeleka petition yake mahakamani bila kuwa na hiyo certificate na uthibitisho kuwa alipeleka malalamiko kata lakini kikao hakikuitwa itamsaidia kuonensha kwamba nia na jitihada za kupeleka mgogoro kwenye reconciliation board alifanya lakini inaonekana kuna extraordinary circumstances zilizopelekea hiyo bodi kushindwa kufanya usuluhishi na ku-issue the appropriate certificate.
 
Tysher

Tysher

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Messages
210
Points
225
Tysher

Tysher

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2013
210 225
tena mwambie aandike kabisa barua kwa mtendaji wa kata akieleza hizo complaints dhidi ya mkewe, aipeleke kwa dispatch ipokelewe hapo ofisini ili muda ukipita say 3 months na hakuna kikao cha usuluhishi kimeitishwa, then anaweza kupeleka petition yake mahakamani bila kuwa na hiyo certificate na uthibitisho kuwa alipeleka malalamiko kata lakini kikao hakikuitwa itamsaidia kuonensha kwamba nia na jitihada za kupeleka mgogoro kwenye reconciliation board alifanya lakini inaonekana kuna extraordinary circumstances zilizopelekea hiyo bodi kushindwa kufanya usuluhishi na ku-issue the appropriate certificate.
Ahsante kwa maelekezo,ameandika barua tayari..anajiandaa kwenda baraza la kata kufanya kama ulivyosema.
 
Forum statistics

Threads 1,315,686
Members 505,292
Posts 31,866,917
Top