Msaada jinsi ya kutoa mchanga jichoni

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Mchanga umeingia jichoni siku 2 zilizopita haujatoka hadi sasa na silali wala kuona kwa raha,jicho linauma na kutoa chozi.nikifumba jicho naskia hiyo chembe ya mchanga inazunguka it‘s itchin..nisaidien wakuu nautoaje nimejaribu nimeshndwa
 
Kwa kawaida uchafu wote unaoingi machoni husafishwa na kupitia tundu lililo chini ya ya macho yako. Kama lisipo pitia basi husukumwa mpaka mwishoni mwa jicho. Kama ni muwasho basi ni mchubuko tu uliosabibishwa na hilo punje. Njia ya kuweza kuondoa uchafu kama huo ni kutumia maji safi ya baridi katika chombo kama beseni na ukazamisha uso wako na kufungua macho kwa muda kama sekunde 5.
 
Nimejaribu hivo bila mafanikio hautoki..i can feel this particle inazunguka jichoni hadi sasa
 
Nimejaribu hivo bila mafanikio hautoki..i can feel this particle inazunguka jichoni hadi sasa

Njia nyingine ambayo nimeshaitumia na ikafanya kazi ni mtu mwingine kufungua jicho lako na kupuliza kwa nguvu. Tena akiangalia vizuri anaweza kuona hata mchanga wenyewe. Una uhakika sio lump on your eyelid?
 
Mkuu hii njia nadhan ndo ya kwanza kuifanya sababu nilishawahi kuitumia,it hasn‘t worked this time round..it‘s not a lump am sure
 
Jaza maji kwenye beseni/ndoo/sufulia tumbukiza kichwa fungua macho yako wakati kichwa umekizamisha kwenye maji.Maji yataingia kwenye jicho na mchanga utaelea na kutoka.
 
tema mate chini mara tatu na juu mara tatu, maumivu yakizi nenda hospital.
 
Chukua tango kata round lalia mgongo tia vipande vya matongo kwenya macho fumbua yataingia maji ya matango ila yanawasha kaa nayo dk 15
 
inawezekana isiwe lump,ila umepata kovu na kwenye memory yao ime-stick ile kitendo. pole sana. jaribu ku-flush na maji mengi masafi (kwenye 1st aid box kunakua na kichupa cha plastic kina kimrija) jaza drip water, then funguliwa jicho na umwagiwe maji kwa kipindi. ukimaliza hiyo,funga na gozi safi kavu na utoe asubuhi. otherwise usifanye mchezo na jicho bwana,nenda hosp.
Mkuu hii njia nadhan ndo ya kwanza kuifanya sababu nilishawahi kuitumia,it hasn‘t worked this time round..it‘s not a lump am sure
 
Tumia Chloramphenicol eye drops. Weka two drops kila jicho every four hours. Itakusaidia.
 
I assume you mean jicho la usoni. linawasha, liunatoa maji na linakua red, sio? hahahaha
mchanga unaweza kua umesha toka ila ni lile kovu ndio lina washa na unahisi kama bado mchanga upo. nenda chemist wakupe antisceptic ya mafuta ya mgando, uweke jichoni for few hours, mafuta yata trap any impurity na kusaidia donda kupona.
Pole sana kwa jicho kuwasha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom