Jifunze kutengeneza mkorogo mzuri na usio na madhara kwa afya yako

Nmeona hii thread nimemkumbuka mke wa Fela
Screenshot_20180127-093019.png
 
Nijuavyo eti ni bora ukose igredients zote lakini sio maji ya betri.
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba msaada wa lotion na cream zipi nzuri zinafaa kuchanganya kwenye mkorogo mzuri.
Kopo ka cream ya princess
Maji ya diana
Cream ya diana
MontikleA cream
Changanya vyote.ukitoka hapo week tu..ngozi inakua nyororo
 
Pili pili kichaa ndogo za kienyeji
Limao
Kitunguu maji
Maji ya betri
Spirit kali first class
Malizia na deltal liquid

Usisite kuleta marejesho.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom