Mideko
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 33,948
- 184,252
Asante naongezea Kwenye list.Carolite na maji yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante naongezea Kwenye list.Carolite na maji yake
Ni kukoboa ngozi na utumbo kabisa.mh ya wakwezi waachiwe wenyewe mkorogo miaka hii? mkanunue vidonge kabisa ili mkoboke ngozi vizuri
Kabisa KabisaNi kukoboa ngozi na utumbo kabisa.
Hahahhahaaaa jamaniiNdugu mbona humpendi mwenzio?umesahau maji ya betri au unamwonea wivu
WekaWa biashara Mkuu
Weka
Gesi ile ya mtwara
Maji ya betri
Then baada ya weeks nipe mrejesho
Ule umembabua Sana siutakiPia ungejaribu kumuuliza Tito.
Mmmh ushewahi kujaribu?Wateja watanikimbia mkuu
Itakuwa Yupo kama kombat ya Jeshi basiMmmh ushewahi kujaribu?
Mbona mke wangu ndio mkorogo wake huo
Kopo ka cream ya princessKama kichwa cha habari kinavojieleza naomba msaada wa lotion na cream zipi nzuri zinafaa kuchanganya kwenye mkorogo mzuri.
Maji ya betriJik
Carotone cream
Omo
Carotone maji
Sabuni ya magadi 7
Baking powder n.k
bila kusahau na spiritMaji ya betri
Mafuta ya trasformer
huyu ni mtu kweli na sio picha imeeditiwa???Nmeona hii thread nimemkumbuka mke wa Fela
View attachment 685421