PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,222
Jik
Carotone cream
Omo
Carotone maji
Sabuni ya magadi 7
Baking powder n.k
Carotone cream
Omo
Carotone maji
Sabuni ya magadi 7
Baking powder n.k
Week Mbili mabadilikoMkoroko mzuri ndio nn?
Hiyo Hiyo Jik, omo na sabuni ya magadi nakuachia.Jik
Carotone cream
Omo
Carotone maji
Sabuni ya magadi 7
Baking powder n.k
Baada ya haya ngozi ikipata madhara unakwenda kwa mganga na kukuJik
Carotone cream
Omo
Carotone maji
Sabuni ya magadi 7
Baking powder n.k
Asante naongeza Kwenye list Rosewater na asaliNiliiona uzi mmoja wa urembo wa asili, ulizungumzia mkorogo wa asili cyo wa kuchanganya lotion na cream
Yenyewe unachanganya ukwaju, Asali na rosewater
Baada ya haya ngozi ikipata madhara unakwenda kwa mganga na kuku
Kama ndio ww apo kwenye DP unataka ukorogo wa nn tena?Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba msaada wa lotion na cream zipi nzuri zinafaa kuchanganya kwenye mkorogo mzuri.
Baada ya haya ngozi ikipata madhara unakwenda kwa mganga na kuku
Hiyo Hiyo Jik, omo na sabuni ya magadi nakuachia.
Hivo vingne Asante. Naviongeza kwenye list.
Wa biashara MkuuKama ndio ww apo kwenye DP unataka ukorogo wa nn tena?
Ennhe mwana kuyataka mwana kumpata.Baada ya haya ngozi ikipata madhara unakwenda kwa mganga na kuku
Ndugu mbona humpendi mwenzio?umesahau maji ya betri au unamwonea wivuJik
Carotone cream
Omo
Carotone maji
Sabuni ya magadi 7
Baking powder n.k
Sawa NitaletaUkifanikiwa leta mrejesho mkuu
Itakuwa sio bureeNdugu mbona humpendi mwenzio?umesahau maji ya betri au unamwonea wivu
Tutajitahidi kuvitafuta kama dozi hii ikiwa ndogo ondoa Shakamh ya wakwezi waachiwe wenyewe mkorogo miaka hii? mkanunue vidonge kabisa ili mkoboke ngozi vizuri