Msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye ubuntu

kapistrano

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,244
453
Nimekuwa natumia Ubuntu kwa miaka kumi sasa(10), kwa kipindi chote sikuwa nashughulika na mambo ya Terminal. Hivyo sina ujuzi wa kutosha kwenye eneo hilo.

Hivi karibuni nimekuwa ninakazi mbalimbali ambazo nahitaji kuistall software mbalimbali kwa kutumia command line kwenye Terminal matokeo huja hivi

$ sudo apt-get install <package>
Reading package lists... Done
Building dependency tree
Reading state information... Done
E: Unable to locate package <package>
Nafanyaje ili kuweza kutatua tatizo la E: Unable to locate package?
 
update then upgrade system kwa kutumia

sudo apt-get update -y && sudo apt-get upgrade -y

then jarib tena izo commands zako zingine
 
Unatakiwa kuupdate kwanza packages kwa ujumla kabla ya ku-install

sudo apt-get update

Halafu unatype command ya ku-install software

Pamoja na hilo kuna changamoto utakutana nazo kwa apps ambazo hazina repository kwa hiyo utalazimika kuadd repos.

Ask ubuntu ina majibu mengi.
 
Imekata nimesha update (sudo apt-get update -y ) and upgrade (sudo apt-get upgrade -y) Nimejaribu kwenye Ubuntu software and updates nimefanya kila kitu imegoma kabisa.
 
Unatakiwa kuupdate kwanza packages kwa ujumla kabla ya ku-install

sudo apt-get update

Halafu unatype command ya ku-install software

Pamoja na hilo kuna changamoto utakutana nazo kwa apps ambazo hazina repository kwa hiyo utalazimika kuadd repos.

Ask ubuntu ina majibu mengi.
Au issue ya version inaweza kuchangia pia? Maana mimi natumia Ubuntu 14.04LTS inaweza ikawa sababu?
 
Nimekuwa natumia Ubuntu kwa miaka kumi sasa(10), kwa kipindi chote sikuwa nashughulika na mambo ya Terminal. Hivyo sina ujuzi wa kutosha kwenye eneo hilo.
Hivi karibuni nimekuwa ninakazi mbalimbali ambazo nahitaji kuistall software mbalimbali kwa kutumia command line kwenye Terminal matokeo huja hivi
$ sudo apt-get install
Reading package lists... Done
Building dependency tree
Reading state information... Done
E: Unable to locate package
Nafanyaje ili kuweza kutatua tatizo la E: Unable to locate package?
Piga hizi mzee
sudo dpkg --configure -a
sudo apt-get clean
sudo apt-get update
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom