Msaada: Jinsi ya kusolve "adb is not recognised as an internal or external command, operable programs or batch file"

Patiee

JF-Expert Member
Sep 20, 2018
468
716
Wakuu;

Naomba msaada wa namna ya kusolve suala hilo hapo juu. Kila ninapotaka ku issue command kwenye CMD promt maneno hayo yanajitokeza.

Nimejaribu kubadili user variables kwenye environmental changes lakini bado maneno hayo yanajitokeza.

Msaada tafadhali.
 
Nime install adb Kwa simu through Google kisha nikaihamishia kwenye computer
 
Wakuu;

Naomba msaada wa namna ya kusolve suala hilo hapo juu. Kila ninapotaka ku issue command kwenye CMD promt maneno hayo yanajitokeza.

Nimejaribu kubadili user variables kwenye environmental changes lakini bado maneno hayo yanajitokeza.

Msaada tafadhali.
Vipi umeshafanikiwa? Naweza kukusaidia
 
Nilienda kwenye environmental variables nikabadilisha path.Vipi kuna njia nyingine?
Kwenye environment kuna user variables na system variables. Weka hiyo path kwenye system variables.

Ukishabadili path inabidi ufunge command prompt kisha uifungue tena ndipo itarecognize updated path
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom