je kingamuzi chako kina RCA output njia sita.>>>>Hapa sijakuelewa.... Naomba ufafanuzi zaidi.
sio hivyo mkuu huyu ana king`amuzi kimoja anataka kutumia kwenye tv mbili.p0a, ebu nunua waya na pin ya mbli m0ja ya kwenye lnb 0ut ya king'amuz cha seblen na ya lnb in ya king'amuz unachoweka chumban
kwa kifupi unahitaji waya tu kama huo uliotumia kuunganishia hiyo moja ya sasa. sema ndo inabidi uwe mrefu ili kufikisha unapotaka. na ni nadra kupata ila unaweza kununua hizo hizo fupi fupi ukaziunganisha.Habari za hapa Wadau..
Naomba kujua vifaa gani vinatajika niweze kutumia king'amuzi kimoja ktk TV mbili.. (Moja sebuleni nyingine chumbani)
AINA YA KING'AMUZI NI ZUKU....
ASANTENI SANA!
Antenna ya ndani au ya njeNaomba kuuliza Antenna za startimes zinauzwa bei gani sasa ?
Ya nje.Antenna ya ndani au ya nje
Poa basi atumie waya kut0aka kwenye tv m0ja kwenda nyngnesio hivyo mkuu huyu ana king`amuzi kimoja anataka kutumia kwenye tv mbili.
Kwa iyo ukibadili chanell kote kunabadilika? , yani tv zote zitakua zinaonyesha chanel moja kwa wakati mmoja?unaweza kuunga kawaida au kuna conector maalum ambazo unakuwa una uwezo wa kuchomeka huku na huku.
au ingia google search rca conector utaziona picha
ndio. lazima iwe hivoKwa iyo ukibadili chanell kote kunabadilika? , yani tv zote zitakua zinaonyesha chanel moja kwa wakati mmoja?