Msaada jinsi ya kuseti language simu ya Xiaomi 5splus

kuna baadhi ya settings hazidownload playstore ie setting za wap. jaribu kucheki apn setting zako
uploadfromtaptalk1494925431066.jpg
uploadfromtaptalk1494925495268.jpg

mkuu nimesearch hivyo lkn hakuna kitu kinacho tokea kinafanana na playstoreView attachment 508299View attachment 508305
embu cheki hapa mkuu
 
Mkuu nataka kuagiza incubator toka nje ila sina lolote nalofahamu kuhusu hii product unaweza nishauri kwa kunipatia reliable link zenye uwezo wa mayai 300 mkuu kwa reasonable price na durability isiwe mbovu na je kodi wanakata kwenye vitu kama hivi vya kijasiriamali.ahsanteh
dah sifahamu lolote kuhusu incubator mkuu.
 
Back
Top Bottom